NAOMI AMCHAPA SERENA WILLIAMS NUSU FAINALI-AUSTRALIA OPEN.
Mcheza tenisi naomi osaka ametinga fainali ya Australian Open mwaka wa 2021 baada ya kumfunga Serena Williams kwa seti mbili za 6-3 6-4 kwenye mchezo wa nusu fainali Usiku .…
Mcheza tenisi naomi osaka ametinga fainali ya Australian Open mwaka wa 2021 baada ya kumfunga Serena Williams kwa seti mbili za 6-3 6-4 kwenye mchezo wa nusu fainali Usiku .…
Beki wa Real Madrid Mbrazili Marcelo da Silva huenda akaungana tena na Cristiano Ronaldo baada ya Juventus kuonesha nia ya kutaka kumsajili. Marcelo amekuwa sehemu kubwa ya mafanikio ya Madrid…
Aliyewahi kuwa kocha mkuu wa klabu ya Simba ya Tanzania, Patrick Aussems ametambulishwa rasmi kuwa kocha mkuu wa klabu ya AFC Leopards ya Kenya. Aussems anajiunga na klabu hiyo baada…
Taarifa kutoka katika mtandao wa 'Express' umeripoti kuwa Manchester United ipo katika mpango wa kumpa mkataba mpya Bruno Fernandes ili kubakia klabuni hapo. Fernandes amekuwa katika kiwango bora tangu atue…
Klabu ya Paris Saint-Germain ya nchini Ufaransa wamepanga kumpa Lionel Messi mshara wa pauni 800,000 kwa wiki kama mchezaji huyo atajiunga na kikosi hicho kilichopania kufanya makubwa msimu ujao (2021-2022).Mkataba…
Aliyewahi kuwa kocha wa klabu ya Simba, Patrick Aussems ‘Uchebe’ amewasili Jijini Nairobi kukamilisha mazungumzo na klabu ya AFC Leopards.Inaelezea kuwa huenda Aussems raia wa Ubelgiji akatangazwa rasmi kuwa kocha…
Mabingwa watetezi wa Ligi kuu nchini Gor Mahia watashuka uwanjani Kasarani Jumapili Februari 7 kwa mechi ya ligi kuu maarufu kama Mashemeji Derby huku kwa mara ya kwanza mechi ya…
Ni Rasmi klabu ya Manchester United imemruhusu mchezaji wake muargentina Marcos Rojo kutoka klabuni hapo na kujiunga klabu ya Boca Juniors ya huko kwao Argentina. Rojo amejiunga na Boca Juniors…
Mkataba wa Lionel Messi na klabu ya Barcelona umevuja, unatajwa kuweka rekodi kwenye historia ya mpira. Mkataba huo unaeleza kwamba Messi atapokea kiasi cha dolla milioni 673.9 ambazo ni sawa…
Mgombea urais wa klabu ya Barcelona, Joan Laporta ameijia juu timu ya PSG wanaomuwania mchezaji wao nyota Lionel Messi kwa kuwaambia kuwa wanapuuzia kanuni za matumizi ya fedha katika usajili.…