Aliyewahi kuwa kocha wa klabu ya Simba, Patrick Aussems ‘Uchebe’ amewasili Jijini Nairobi kukamilisha mazungumzo na klabu ya AFC Leopards.
Inaelezea kuwa huenda Aussems raia wa Ubelgiji akatangazwa rasmi kuwa kocha wa Leopards wakati wowote kuanzia sasa.
PATRICK AUSSEMS ATUA KENYA KWA MAZUNGUMZO NA AFC LEOPARDS.
