VILIO VYATAWALA WAKATI WA KUAGWA MWILI WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewaongoza viongozi mbalimbali, wakiwemo wabunge, mawaziri na wananchi kumuaga aliyekuwa Rais wa Taifa hilo John Pombe Magufuli aliyefariki Machi 17…

Continue ReadingVILIO VYATAWALA WAKATI WA KUAGWA MWILI WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

SERIKALI YAWEKA MIKAKATI DHABITI YA KUKABILIANA NA KUPANDA KWA VISA VYA MIMBA ZA MAPEMA KAUNTI YA TRANS NZOIA

Serikali imewanasa na kuwafungulia mashtaka watu 307 katika oparesheni ya kukabiliana na wanaohusika katika visa ya mimba za mapema katika Kaunti ya Trans nzoia.  Kamishna wa Kaunti hiyo Sam Ojwang amewaagiza…

Continue ReadingSERIKALI YAWEKA MIKAKATI DHABITI YA KUKABILIANA NA KUPANDA KWA VISA VYA MIMBA ZA MAPEMA KAUNTI YA TRANS NZOIA
Read more about the article WAKULIMA WAPOKEA MBEGU YA MAHINDI KUTOKA KWA SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Gavana Lonyangapuo[kulia] akimkabidhi mwenyeji mbegu ya mahindi

WAKULIMA WAPOKEA MBEGU YA MAHINDI KUTOKA KWA SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI

Katika juhudi za kukabiliana na uhaba wa chakula katika Kaunti ya Pokot Magharibi, Serikali ya Kaunti hiyo inaendeleza mikakati ya kuwapa wakulima mbegu. Gavana John Lonyangapuo anasema amechukua hatua hiyo…

Continue ReadingWAKULIMA WAPOKEA MBEGU YA MAHINDI KUTOKA KWA SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI

Mwisho

Hamna taarifa zaidi