APPLE YASITISHA KUTENGENEZA NA KUUZA IMAC PRO
Kampuni ya Apple itaacha kuuza na kutengeneza iMac Pro, lakini itaendelea kuipatia updates kama kawaida. iMac Pro ni toleo la iMac mwaka 2017, ilikuwa na inch 27 na muonekano wake…
Kampuni ya Apple itaacha kuuza na kutengeneza iMac Pro, lakini itaendelea kuipatia updates kama kawaida. iMac Pro ni toleo la iMac mwaka 2017, ilikuwa na inch 27 na muonekano wake…
Google imetangaza wiki hii kuwa itafanya mabadiliko katika mfumo wake wa matangazo. Mtandao huo umesema utaacha rasmi kusambaza matangazo yake kuendana na historia ya kuperuzi katika website mbalimbali unazotembelea na kuanzia…
Instagram inafanya majaribio mengi katika kuboresha mpangilio wake na experience yake ikiwemo kuweka uhuru kwa mtumiaji kuzuia likes zisionekane kwa watazamaji na followers. Mwenye account pekee yake ndiye ambaye atakuwa…
Twitter inaanzisha mfumo mpya wa kubaini na kuondoa machapisho yanayopotosha kuhusu chanjo ya COVID-19 na kuwafungia watumiaji watakaoonekana kusisitiza kuenea kwa habari za uongo. Kampuni hiyo imesema inaamini hatua hiyo…
Twitter imekuwa ikitafuta namna nyingine ya kupata faida kwa kuweka huduma za malipo au subscription kwa watumiaji. Mafanikio ya majaribio yake yamefanikiwa na wiki hii Twitter imetambulisha huduma ya Super…
Baada ya kuweka Instagram Reels, New Product Experimentation (NPED) timu ya Facebook inayohusika na kutengeneza app za majaribio chini ya kampuni ya Facebook, jana imetoa app mpya ya majaribio. Facebook…
Kampuni ya Samsung inatengeneza miwani maalum zilizotengenezwa na mfumo wa Augumented reality (AR) na VR yenye umbo sawa na miwani ya kawaida. Samsung imetoa video kuonyesha matumizi makubwa ya miwani…
Microsoft imetangaza itatoa toleo jipya la Microsoft Office (Word, Excel, Outlook, PowerPoint na pia Microsoft Teams). Toleo la mwisho ni Office 2019 na baada ya hapo Microsoft iliweka nguvu kubwa…
Chrome imeweka muonekano mpya wa tabs kwa watumiaji wote wa Android. Browser hii inayotumika na watumiaji wengi duniani, imeboresha mpangilio wa tabs. Tabs ni kurasa za website (tovuti) ambazo umezifungua…
Facebook, Twitter, YouTube na Snapchat zinapambana kuondoa filter ya Silhouette Challenge baada ya kuanza kutumika vibaya mitandaoni.Ni challenge ambayo ilianza hivi karibuni ambapo watumiaji wanatumia rangi nyekundu na nyeusi kuficha…