T-PAIN “NINA MCHANGO MKUBWA KWA WASANII KUTUMIA AUTO-TUNE”
Sauti ya mwimbaji kutoka marekani T-Pain kwenye nyimbo zake ilikuwa tofauti na wasanii wengine kutokana na sauti yake kuwa ya kipekee, ambayo kitaalam inaitwa (auto-tune) ambayo ni effect maalum inayotumika…