WAKULIMA WAPOKEA MBEGU YA MAHINDI KUTOKA KWA SERIKALI YA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Katika juhudi za kukabiliana na uhaba wa chakula katika Kaunti ya Pokot Magharibi, Serikali ya Kaunti hiyo inaendeleza mikakati ya kuwapa wakulima mbegu. Gavana John Lonyangapuo anasema amechukua hatua hiyo…