104.5FM • 104.9FM

North Rift Radio

Mimi na wewe

North Rift Radio ni stesheni ya redio iliyoko Kapenguria, Kaunti ya Pokot Magharibi. Toka mwaka wa 2016, tumekuwa tukihakikisha kuwa wenyeji wa Bonde la Ufa na maeneo ya Magharibi mwa nchi wanapashwa taarifa na jumbe mahususi Kupitia habari na nakala za sauti za redio ili kuwawezesha kufaya maamuzi ya busara katika maisha ya kila siku.

Tunaongoza...

Habari pindi zinapochipuka, Mazungumzo yanayogusia maswala anuwai, Michezo... Tuko hewani kuwapa wasikilizaji wetu taarifa, vipindi vinavyosisimua na burudani tele.

Asante kwa wasilizaji wetu

Mon, 01 Mar 2021 19:28:37 +0300

Habari zinazojiri

LEXSIL AIGURA LEBO YA MUZIKI YA JUST IN LOVE INAYOMILIKIWA NA MSANII OTILE BROWN.

LEXSIL AIGURA LEBO YA MUZIKI YA JUST IN LOVE INAYOMILIKIWA NA MSANII OTILE BROWN.

Mwanamuziki anayefanya vizuri kwenye kiwanda cha muziki nchini Lexsil ameigura lebo ya muziki ya "Just In Love" ikiwa ni miezi 6 tangu ajiunge na lebo hiyo. Duru zinasema msanii huyo  alivunja mkataba na lebo ya

DAVIDO AHISIWA KUTOKA KIMAPENZI NA EX WA RAPA YOUNG M.A

DAVIDO AHISIWA KUTOKA KIMAPENZI NA EX WA RAPA YOUNG M.A

Nyota wa muziki kutoka Nchini Nigeria Davido amewaacha watu na maswali mengi na kuzua mijadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kunaswa na camera akiwa na mrembo mwingine huko Saint Marteen Nchini Marekani. Davido ameonekana

MBOSSO AACHIA RASMI COVER YA ALBUM YAKE MPYA “DEFINITION OF LOVE.”

MBOSSO AACHIA RASMI COVER YA ALBUM YAKE MPYA “DEFINITION OF LOVE.”

Staa wa muziki wa BongoFleva kutoka label ya WCB Mbosso ameachia Cover rasmi ya Album yake ya "DEFINITION OF LOVE". Album hiyo inayosubiriwa kwa Hamu na mashabiki wa muziki mzuri mashariki inatarajiwa kuachiwa rasmi machi

MSANII YKEE BENDA ATANGAZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA.

MSANII YKEE BENDA ATANGAZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA.

Staa wa muziki nchini Uganda Ykee Benda ametangaza ujio wa album yake ya pili baada ya miezi kadhaa ya kurekodi nyimbo zitakazopatikana kwenye album hiyo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ykee Benda ambaye anafanya vizuri

North Rift Radio App

Pakua programu sasa kutoka duka la Google Play

Jisajili ili kupata chapisho letu