RAILA ODINGA AKUTWA NA COVID-19
Kiongozi wa Upinzani nchini, Raila Odinga amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona lakini anaendelea vizuri katika Hospitali ya #Nairobi ambako amelazwa. Odinga alilazwa tangu Machi 9 baada ya kuwa…
Kiongozi wa Upinzani nchini, Raila Odinga amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona lakini anaendelea vizuri katika Hospitali ya #Nairobi ambako amelazwa. Odinga alilazwa tangu Machi 9 baada ya kuwa…
Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Anne Nderitu atavifutia usajili Vyama vya Siasa ambavyo shughuli zao zitakumbwa na ghasia kuelekea wakati wanapojiandaa na Uchaguzi Mkuu wa 2022. Nderitu amevitaka Vyama…
Rais Uhuru Kenyatta amezuia Mikusanyiko ya Kisiasa kwa siku 30 kuanzia Machi 12 ili kuzuia maambukizi ya Virusi vya Corona yanayoiandama nchi hiyo. Zuio la kutotembea usiku limeongezwa kwa siku…
Serikali imefuta marufuku iliyoweka juu ya kuagiza Mahindi kutoka Uganda na Tanzania huku ikiambatanisha masharti kwenye uingizaji wa Zao hilo. Mnamo Machi 5, Serikali ya Kenya iliweka marufuku ya kuingiza…
Kiongozi wa Chama cha ODM Raila Odinga amelazwa Hospitali ya Nairobi kutokana na kuwa na uchovu wa mwili na maumivu makali. Kaka wa Odinga, Oburu Odinga amesema ndugu yake haijaonesha…
Juhudi zaidi zinapaswa kuwekwa ili kuhakikisha thuluthi mbili ya uwakilishi wa akina mama katika nafasi za uwongozi inaafikiwa humu nchini. Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Wanawake ulimwenguni mama wa…
Seneta wa Siaya ambaye pia ni kiongozi wa wachache katika bunge la seneti James Orengo amewataka wafanyikazi wa serikali kukoma kutumia muda wao mwingi katika maswala ya siasa na badala…
Ushindi wa Peter Navulondo wa chama cha ANC katika eneo bunge la Matungu umeonyesha dhahiri kwamba eneo la Magharibi limeungana. Ndio kauli ya Kinara wa chama cha ANC Musalia Mudavadi…
Wizara ya Elimu imeweka mikakati ya kutosha kuhakikisha visa vya udanganyifu vinathibitiwa wakati wa mitihani ya kitaifa nchini. Kulingana na Waziri wa Elimu Prof. George Magoha mtihani wa KCPE utaanza…
Wizara ya Afya inafanya kila juhudi kuhakikisha kwamba maslahi ya wahudumu wa afya yanashughulikiwa ili kuimarisha sekta ya afya. Akizungumza baada ya kuongoza shughuli ya kuchanjwa kwa wahudumu wa afya…