Kiongozi wa Upinzani nchini, Raila Odinga amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona lakini anaendelea vizuri katika Hospitali ya #Nairobi ambako amelazwa.
Odinga alilazwa tangu Machi 9 baada ya kuwa na uchovu mwingi na maumivu. Ambapo nduguze walisema hakuwa na dalili za shida katika Mfumo wa Upumuaji lakini walikuwa wanasubiri majibu.
Majibu ya Raila Odinga yametoka Alhamis, Machi 11, Japo Odinga mwenyewe aliwatoa hofu watu mchana kuwa anaendelea vizuri