PATRICE MOTSEPE ATANGAZWA KUWA RAIS MPYA CAF
Bilionea wa Afrika Kusini na Mmiliki wa klabu ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini, Patrice Motsepe amechaguliwa kuwa Rais wa saba wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Patrice amechaguliwa kwenye…
Bilionea wa Afrika Kusini na Mmiliki wa klabu ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini, Patrice Motsepe amechaguliwa kuwa Rais wa saba wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Patrice amechaguliwa kwenye…
Beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand amesema ni mapema kwa klabu ya Liverpool kufikiria kumtimua kocha wake, Jurgen Klopp kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo kwa siku…
Kocha wa Timu ya Taifa ya Soka ya Wanaume ya Ujerumani, Joachiam Low ataacha kuifundisha timu hiyo baada ya Michuano ya EURO inayotarajiwa kufanyika Juni 11 - July 11, mwaka…
Wanachama wa Barcelona walimchagua Joan Laporta kama rais wa klabu siku ya Jumapili. Laporta, ambaye alikuwa rais wa Barça kati ya 2003 na 2010, alishinda kwa kupata asilimia 57.6% ya…
Baada ya kupata sare mbili za bila kufungana dhidi ya Real Sociedad kisha na Chelsea, Manchester United inasafiri hii leo kuelekea Selhurst kukipiga dhidi ya Crystal Palace mchezo utaopigwa saa…
Meneja wa zamani wa klabu za West Ham na Newcastle, Glenn Roeder amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65. Meneja Roeder alifariki Februari 28 2021 na taarifa za kifo…
Bingwa mara 15 wa Mchezo wa Gofu duniani, Tiger Woods amepata ajali ya gari huko Los Angeles na anafanyiwa upasuaji kufuatia majeraha ya miguu aliyopata. Kwa mujibu wa ripoti, gari…
Michezo miwili itapigwa leo kati ya Borussia Mönchengladbach dhidi ya Manchester city huku Atalanta ikiialika Real Madrid. Kiwango bora walichonacho Manchester City katika mashindano ya ndani kinakwenda kujaribiwa usiku wa…
Raisi wa Shirikisho la mpira wa miguu duniani, FIFA, Gianni Infantino amezindua rasmi tawi la sgirikisho hilo katika mji mkuu wa Rwanda Kigali. Makao makuu ya tawi hilo la FIFA…
Klabu ya FC Bournemouth imetajwa kuwa kwenye mazungumzo na Thierry Henry kwa ajili ya kuja kuifundisha timu hiyo inayoshiriki ligi ya Championship nchini England. Nyota huyo wa zamani wa Arsenal…