MUSWADA WA MAREKEBISHO YA KATIBA MWAKA 2020 WAWASILISHWA KATIKA BUNGE LA KITAIFA
Muswada wa marekebisho ya katiba mwaka wa 2020 umewasilishwa kwenye Bunge la kitaifa na kusomwa kwa mara ya kwanza. Spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi amethibitisha kupokea uamuzi wa…