MSIJIHUSISHE NA UTOVU WA NIDHAMU, WATAHINIWA WA KCPE NA KCSE WAONYWA
Watahiniwa wa mitihani ya Kitaifa katika Kaunti ya Pokot Magharibi wametakiwa kudumisha nidhamu msimu huu ili kuchochea matokeo mema. Akizungumza na kituo hiki kwa njia ya kipekee katibu wa KNUT…