KENYA YATANGAZA KUTOPOKEA MAHINDI KUTOKA TANZANIA NA UGANDA.
Mamlaka ya Kilimo na Chakula nchini imedai uchunguzi umebaini kuwa mahindi yanayoingia kutoka Tanzania na Uganda sio salama kwa matumizi ya binadamu. Imedai kuwa, mahindi hayo yana kiwango kikubwa cha…