URUSI: WANASIASA WA UPINZANI NA WAANDISHI WA HABARI 200 WAKAMATWA
Vyombo vya Usalama nchini Urusi vimewakamata Wanasiasa 200 wa Upinzani na Viongozi wa Manispaa waliokuwa kwenye mkutano Mjini Moscow. Mkutano huo uliowakutanisha Viongozi na Wafuasi wa Upinzani kutoka majimbo 50…