Mcheza tenisi naomi osaka ametinga fainali ya Australian Open mwaka wa 2021 baada ya kumfunga Serena Williams kwa seti mbili za 6-3 6-4 kwenye mchezo wa nusu fainali Usiku .
Fainali itapigwa Siku ya Jumamosi na atakutana na Jennifer Brady aliyetinga Fainali baada ya kumfunga Karolína Muchová kwa seti tatu za 4-6, 3-6 na 4-6 katika mchezo wa nusu fainali.