IBRAHIMOVIC NA LUKAKU WAFUNGIWA.
Washambuliaji, Zlatan Ibrahimovic na Romelu Lukaku wamepewa adhabu ya kufungiwa mchezo mmoja wa Ligi Kuu Italia kufuatiwa kuanzisha vurugu katika mchezo wa ‘Derby ya Milan’ uliopigwa Jumanne iliyopita. Ibrahimovic atakosa…