Shirika la Afya Duniani (WHO) imeiorodhesha Chanjo ya Johnson & Johnson kutumika kwa nchi zote zilizo ndani ya Mpango wa COVAX.
Chanjo ya Johnson & Johnson imekuwa chanjo ya nne kuorodheshwa na WHO ambapo chanjo nyingine zilizoorodheshwa ni Pfizer/BioNTech, Astrazeneca-SK na Serum ya Taasisi ya India.
Mkurungenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema chanjo yoyote mpya na salama inafaa kutumika kupambana na COVID-19