Baadhi ya wahudumu wa afya nchini wanahoji kuwa hawapo tayari kupewa chanjo dhidi ya virusi vya Corona
Kulingana nao hawakupewa hamasisho kuhusiana na madhara yake huku wakitaka serikali kuwapa elimu kabla ya kuanza kutoa chanjo hiyo.
Aidha wametaka wahudumu wa afya ya jamii vilevile kupewa kipau mbele kwenye chanjo hiyo ikizingatiwa kwamba wamekuwa mstari wa mbele kupambana na Corona.