UGONJWA WA EBOLA WARIPOTIWA NCHINI GUINEA

You are currently viewing UGONJWA WA EBOLA WARIPOTIWA NCHINI GUINEA
  • Post category:Burudani

Guinea imeripoti maambukizi ya ugonjwa wa Ebola ambapo watu wanne wameripotiwa kufariki dunia hadi sasa.

Idara ya Afya ya Taifa imesema watu hao walianza kuugua, kutapika na kuvuja damu baada ya kuhudhuria mazishi katika Wilaya ya Goueke.

Vipimo vinaendelea ili kuthibitisha maambukizi na wahudumu wa Afya tayari wanawafuatilia wote waliokutana na wagonjwa hao.

Ebola iliua zaidi ya watu 11,000 kati ya 2013 hadi 2016 ambapo baadae ilidhibitiwa

Robert Elim

Robert Elim better known as Mtoto wa Nyumbani Roba is a new shade of light on the mainstream radio scene! He host an Entertainment show called Interact that usually runs every Monday to Friday from 1:00 PM to 4:00 PM and Interact Extra that runs every Saturday from 10:00 AM to 1:00 PM. Follow him on Twitter and Instagram @robertchiwawa