TOLEO JIPYA LA MICROSOFT OFFICE LITATOKA MWAKA HUU KWA WATUMIAJI WA MAC’OS NA WINDOWS.

You are currently viewing TOLEO JIPYA LA MICROSOFT OFFICE LITATOKA MWAKA HUU KWA WATUMIAJI WA MAC’OS NA WINDOWS.
  • Post category:Teknolojia

Microsoft imetangaza itatoa toleo jipya la Microsoft Office (Word, Excel, Outlook, PowerPoint na pia Microsoft Teams).

Toleo la mwisho ni Office 2019 na baada ya hapo Microsoft iliweka nguvu kubwa katika Microsoft 365 ambayo ni huduma ya kununua package zote kwa subscription.

Tofauti na toleo la Microsoft 365, Office 2021 (LTSC) itakuwa na leseni ya miaka mitano na kupata update za msingi kama ilivyokuwa zamani kabla ya Microsoft 365.

Office 2021 itakuwa na muonekano mpya, Dark Mode nzuri, aina mpya ya XLOOKUp katika Excel, uwezo mzuri wa kutoa PDF, kuweka sign katika documents, icons mpya na uwezo mzuri wa kudesign presentation ili kushindana na soko la Adobe InDesign.

Robert Elim

Robert Elim better known as Mtoto wa Nyumbani Roba is a new shade of light on the mainstream radio scene! He host an Entertainment show called Interact that usually runs every Monday to Friday from 1:00 PM to 4:00 PM and Interact Extra that runs every Saturday from 10:00 AM to 1:00 PM. Follow him on Twitter and Instagram @robertchiwawa