OPARESHENI YA KUWANASA WANAOKIUKA KANUNI ZA KUTHIBITI MSAMBAO WA CORONA WAANZA TRANS-NZOIA.

Kamanda wa polisi kaunti ya Trans-Nzoia Fredrick Ochieng’ ametangaza kuanza kwa oparesheni kali ya kuwanasa wale wote wanaokiuka sheria zilizowekwa na Wizara ya Afya kuzuia kuenea kwa virusi hatari wa Corona.

Ochieng’ amesema watawanasa wale wote ambao wamelegeza kanuni hizo wakiwemo wafanyibiashara wenye migahawa¬† na vyumba vya burudani.

Ameongeza kwamba wamiliki wa magari hawatasazwa kwenye operesheni hiyo kwani wengi wao wamekuwa wakiuka masharti hayo licha ya inspekta

Robert Elim

Robert Elim better known as Mtoto wa Nyumbani Roba is a new shade of light on the mainstream radio scene! He host an Entertainment show called Interact that usually runs every Monday to Friday from 1:00 PM to 4:00 PM and Interact Extra that runs every Saturday from 10:00 AM to 1:00 PM. Follow him on Twitter and Instagram @robertchiwawa