Bingwa mara 15 wa Mchezo wa Gofu duniani, Tiger Woods amepata ajali ya gari huko Los Angeles na anafanyiwa upasuaji kufuatia majeraha ya miguu aliyopata.
Kwa mujibu wa ripoti, gari aliyokuwa nayo Woods mwenye umri wa mika 45 imeharibika vibaya na alitolewa eneo la ajali na Vikosi vya Zimamoto pamoja na Huduma ya Kwanza.
Imeelezwa kuwa, wakati akiokolewa alikuwa anajitambua