KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN HAWAZUNGUMZI TENA BAADA YA TALAKA.

You are currently viewing KANYE WEST  NA KIM KARDASHIAN HAWAZUNGUMZI TENA BAADA YA TALAKA.
  • Post category:Burudani

Rapa Kanye West na Kim Kardashian hawazungumzi baada ya mchakato wa talaka.

Mtandao wa Page Six umeripoti kwamba hii imekuja baada ya Kanye kubadilisha namba yake ya simu na kumwambia Kim kwamba atakuwa akiwasiliana naye kupitia walinzi wake.

Chanzo kimoja kimeuambia mtandao huo kwamba Kanye  aliacha kuzungumza na Kim kardashian hata kabla ya kuanza kwa mchakato wa talaka.

Lakini licha ya utengano huo, wawili hao wameripotiwa kuwa wanaendelea kuwalea watoto wao Wanne kwa utaratibu wa pamoja yaani, Co-parenting.

Robert Elim

Robert Elim better known as Mtoto wa Nyumbani Roba is a new shade of light on the mainstream radio scene! He host an Entertainment show called Interact that usually runs every Monday to Friday from 1:00 PM to 4:00 PM and Interact Extra that runs every Saturday from 10:00 AM to 1:00 PM. Follow him on Twitter and Instagram @robertchiwawa