JUHUDI ZA KUOKOA NDOA YA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN ZIMEGONGA MWAMBA.

You are currently viewing JUHUDI ZA KUOKOA NDOA YA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN ZIMEGONGA MWAMBA.
  • Post category:Burudani

Jaribio la kusaidia ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West kutoka Marekani limegonga mwamba.

Taarifa kutoka mtandao wa People zinaripoti kwamba wawili hao walikuwa kwenye Baraza la ushauri wa masuala ya ndoa lakini wamehamua kuacha kuhudhuria kabisa na ni dalili kwamba talaka inanukia.

Mbali na kusikia upande mmoja tu kwamba Kim Kardashian amekuwa akizungumza na mwanasheria wa masuala ya talaka, Kanye ameripotiwa kufanya hivyo pia.

Hata hivyo sababu za wawili hao kuachana zinaelezwa kuwa ni kukua kiakili kwa Kim Kardashian, kuwa serious na masomo yake ya sheria, harakati na kampeni zake za kutetea wafungwa, huku wakati huo huo Kanye West yeye akizungumzia masuala ya kugombea urais na mambo mengine ya kipuuzi. Hivyo Kim Kardashian anaelezwa kuchoshwa!

Robert Elim

Robert Elim better known as Mtoto wa Nyumbani Roba is a new shade of light on the mainstream radio scene! He host an Entertainment show called Interact that usually runs every Monday to Friday from 1:00 PM to 4:00 PM and Interact Extra that runs every Saturday from 10:00 AM to 1:00 PM. Follow him on Twitter and Instagram @robertchiwawa