Msanii wa muziki kutoka Uganda Grenade amedokeza kuwa ana mpango kuandaa tamasha kubwa la muziki mwaka huu.
Akipiga stori kwenye moja ya interview Grenade amesema angefanya mwaka wa jana lakini kutoka na mlipuko wa virusi vya corona alilazimika kuahirisha mpango huo.
Hata hivyo ameitaka serikali ya Uganda kulegeza msimamo wa kupiga marufuku mtamasha ya muziki ili wasanii waanze tena kuingiza pesa.