Vyombo vya Usalama vimewakamata zaidi ya wafuasi 40 wa Chama cha Upinzani cha NUP kwa kushiriki maandamano yaliyotangazwa na Kiongozi wao, Robert Kyagulanyi.
Bobi Wine aliwahimiza wafuasi wake kushiriki Maandamano ya Amani kupinga Matokeo ya Urais na kamatakamata ambayo Rais Yoweri Museveni amesema inalenga kukabiliana na majaribio ya ghasia.
Vyombo vya Usalama vimeitikia tangazo hilo la Maandamano ya Amani kwa kuweka doria kali sehemu mbalimbali za Miji