Hafla za burudani mazishini maarufu disko matanga zimepigwa marufuku katika Kaunti ya Trans nzoia
Akizungumza katika eneo bunge la Cherangany Kaunti ya Trans nzoia waziri wa usalama wa kitaifa daktari Fred Matiangi anasema hatua hiyo imechukuliwa kama njia moja ya kukabili visa vya mimba za mapema miongoni mwa Wasichana wenye umri mdogo.
Aidha ameamuru kukamatwa kwa washukiwa wote wa visa vya mimba za mapema ikizingatiwa kwamba wasichana alfu kumi wameripotiwa kupachikwa mimba msimu wa janga la korona.