BUNGE LA POKOT MAGHARIBI LASHAURIWA KUBUNI SERA ZA KUKABILIANA NA UKEKETAJI.

You are currently viewing BUNGE LA POKOT MAGHARIBI LASHAURIWA KUBUNI SERA ZA KUKABILIANA NA UKEKETAJI.

Bunge la kaunti ya Pokot Magharibi limepewa jukumu la kutunga sheria sawa na kubuni sera zitakazo saidia kukabiliana vilivyo na visa vya ukeketaji kaunti hiyo.

Akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kupinga ukeketaji katika eneo la Alale, Katibu katika Wizara ya Vijana na Jinsia Rachael Shebesh amesema hatua hiyo itasaidia pakubwa kupiga jeki juhudi za serikali ya kitaifa kumaliza ukeketaji kufikia mwaka wa 2022.

Aidha shebesh amesema serikali imejitolea kufadhili makundi ya vijana na akina mama kujiendeleza kimaisha kupitia hazina ya Uwezo, Wanawake na Vijana

Robert Elim

Robert Elim better known as Mtoto wa Nyumbani Roba is a new shade of light on the mainstream radio scene! He host an Entertainment show called Interact that usually runs every Monday to Friday from 1:00 PM to 4:00 PM and Interact Extra that runs every Saturday from 10:00 AM to 1:00 PM. Follow him on Twitter and Instagram @robertchiwawa