Kamanda wa polisi Kaunti ya Trans nzoia Fredrick Ochieng’ ametangaza kuanza kwa oparesheni kali ya kuwanasa wale wote ambao wanakiuka sheria zilizowekwa na Wizara ya afya kuzuia kuenea kwa virusi vya corona.
Ochieng’ amesema watawanasa wale wote ambao wamelegeza kanuni hizo wakiwemo wafanyibiashara wenye mikahawa na vyumba vya burudani.
Ameongeza kwamba wamiliki wa magari hawatasazwa kwenye operesheni hiyo kwa kuwa wengi wao wamekuwa wakikiuka masharti hayo.