SPIKA WA BUNGE LA KAUNTI YA ELGEIYO MARAKWET ATETEA RUZUKU YA MAGARI KWA WAWAKILISHI WA WADI
Spika wa Kaunti ya Elgeiyo Marakwet Philemon Kiplagat Sabulei anasema kwamba ruzuku ya magari kwa Wawakilishi Wadi na maspika wa mabunge ya Kaunti hazina uhusiano wowote na mswada wa marekebisho…