WANAFUNZI WATAKIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA KIUFUNDI ILI KUPATA UJUZI YA KUJIENDELEZA MAISHANI

Wanafunzi ambao hawakufanya vyema kwenye Mtihani wao wa kitaifa wa kidato cha Nne KCSE wameshauriwa kujiunga na Vyuo vya kiufundi.

Mwakilishi wadi mteule wa Masol Pokot ya kati Grace Rengei anasema kuna nafasi kadhaa ya vijana kujiunga na vyuo hivyo ili kupata ujuzi ambao watatumia kujikimu kimaisha vile vile kuchangia katika ukuaji wa Uchumi wa Taifa.

Rengei aidha amewataka wakuu wa shule kuasi hulka ya kuwafukuza wanafunzi kwa ajili ya karo pindi tu wanapowasili Shuleni akisema kwamba Wazazi wanajitahidi kuhakikisha kuwa wanalipia karo kwa wakati unaofaa.

 

 

Alex Toilem

Alex Toilem is a kiswahili news anchor, news editor at Northrift Radio 104.9 and 104.5 fm He is also

Write a Message

Your email address will not be published.

Related Posts