GAVANA WA KAUNTI YA NAKURU LEE KINYANJUI ASIFIA RUZUKU YA MAGARI KWA WAWAKILISHI WA WADI
Gavana wa Kaunti ya Nakuru Lee Kinyanjui ameunga mkono uamuzi wa Tume ya kuratibu mishahara ya wafanyikazi wa umma SRC kuwapa ruzuku ya magari Wawakilishi Wadi kote Nchini. Kinyanjui anasema…