WAKAAZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WASHAURIWA KUFWATA MAELEZO YA SERIKALI.
Wamiliki wa hoteli, vyumba vya burudani, maduka ya jumla pamoja na wahudumu wa magari ya uchukuzi wa umma Gatuzi la Pokot Magharibi wametakiwa kufwata vigezo vyote vya Serikali mara moja.…