SHULE YA MOI GIRLS YAFUNGWA KWA MUDA USIOJULIKANA BAADA YA WANAFUNZI KUANDAMANA.

You are currently viewing SHULE YA MOI GIRLS YAFUNGWA KWA MUDA USIOJULIKANA BAADA YA WANAFUNZI KUANDAMANA.

Shule ya upili ya wasichana ya Moi mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu imefugwa kwa muda usiojulikana na baada ya wanafunzi kuandamana mapema leo kulalamikia uongozi mbaya.

Katika barua iliyoandikwa na Mkurugenzi wa Elimu kaunti hiyo Mbaka Gitonga, wazazi wameagizwa kuwachukua wanao kabla ya siku ya leo kukamilika.

Wanafunzi hao waliandamana kushinikiza kuondolewa kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa madai ya kuwakandamiza wanafunzi, walimu na wafanyikazi na kuliongoza shule hiyo kwa njia isiyofaa

Robert Elim

Robert Elim better known as Mtoto wa Nyumbani Roba is a new shade of light on the mainstream radio scene! He host an Entertainment show called Interact that usually runs every Monday to Friday from 1:00 PM to 4:00 PM and Interact Extra that runs every Saturday from 10:00 AM to 1:00 PM. Follow him on Twitter and Instagram @robertchiwawa