Serikali ya kitaifa inatarajiwa kuzindua aina mpya ya mbegu ya mahindi ambayo inazalisha zaidi kando na gharama ya chini ya matumizi kuelekea ukuzaji wa zao hilo.
Mbegu hiyo ambayo inaitwa tela inaubora wake katika kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa pamoja na uvamizi wa magonjwa na wadudu hivyo itakuwa afueni kwa wakulima
Katibu katika wizara ya kilimo Hamadi Boga ametaja hatua hiyo kama bora na mwanzo mpya katika uzalishaji wa zao hilo na kilimo kwa ujumla.