Wanafunzi 300 katika Jimbo la Zamfara lililoko Kaskazini Magharibu mwa Nigeria wametekwa nyara Ijumaa asubuhi baada ya shambulio.
Msemaji wa Gavana wa Jimbo amethibitisha kutokea kwa shambulio hilo. Hili ni tukio la karibuni la utekaji unaowahusisha Watu wengi
Ikumbukwe Watu wenye silaha nchini Nigeria huwateka Wasichana wa Shule kwa ajili ya kupata fedha.