KAUNTI YA TURKANA YAZINDUA USAMBAZAJI WA CHANJO YA CORONA
Serikali ya kaunti ya turkana imezindua rasmi usambazaji wa chanjo ya virusi vya corona. Akizungumza alipoongoza hafla ya uzinduzi wa chanjo hiyo, naibu gavana kaunti ya turkana Peter Lotethiro amesema…