NETFLIX WAACHIA KIONJO CHA DOCUMENTARY INAYOHUSU MAISHA YA RAPA NOTORIOUS B.I.G

You are currently viewing NETFLIX WAACHIA KIONJO CHA DOCUMENTARY INAYOHUSU MAISHA YA RAPA NOTORIOUS B.I.G
  • Post category:Burudani

Mtandao wa Netflix wameachia rasmi kionjo cha Documentary inayomuhusu maisha ya marehemu Notorious B.I.G. 

Documentary hiyo iitwayo I Got A Story to Tell imetayarishwa na mama mzazi wa nguli huyo wa hip hop duniani pamoja na rapa P. Diddy, na itaachiwa rasmi machi mosi mwaka huu..

Imeelezwa kwamba kuna baadhi ya vipande vilivyotumika kwenye documentary hiyo, vimetoka kwa rafiki wa marehemu B.I.G ambaye alikuwa akimrekodi kipindi wakiwa watoto.

Documentary hiyo imepewa jina la wimbo wa I Got A Story to Tell unaopatikana kwenye album ya  B.I.G iitwayo “Life After Death” iliyotoka mwaka wa 1997 “

Robert Elim

Robert Elim better known as Mtoto wa Nyumbani Roba is a new shade of light on the mainstream radio scene! He host an Entertainment show called Interact that usually runs every Monday to Friday from 1:00 PM to 4:00 PM and Interact Extra that runs every Saturday from 10:00 AM to 1:00 PM. Follow him on Twitter and Instagram @robertchiwawa