MASENETA WAKO TAYARI KUJADILI MSWADA WA MAREKEBISHO YA KATIBA BBI

You are currently viewing MASENETA WAKO TAYARI KUJADILI MSWADA WA MAREKEBISHO YA KATIBA BBI

Bunge la seneti liko tayari kujadili mswada wa BBI ili kuwahakikishia wakenya mabadiliko ya katiba.

Kiongozi wa wengi katika Bunge la Seneti Samuel Poghisho ambaye pia ni Seneta wa Kaunti ya Pokot Magharibi anasema ana imani kwamba BBI ndiyo suluhu ya matatizo yanayokumba taifa na kwamba ikipita kwenye kura ya maamuzi itafaidi maeneo mengi  kimaendeleo.

Alex Toilem

Mwandishi, mhariri na msomaji wa habari Northrift Radio 104.9/104.5FM kapenguria.