Kuhusu North Rift Radio
Kwa miaka 4 sasa,
Tunawapa wasikilizaji wetu nafasi ya kujadili wanayoyajua katika ukuaji wa kimaendeleo, maswala ya siasa pamoja na kuhimiza umoja na uwiano kwa serikali kuu na serikali za kaunti.
Lengo letu
A leading, fair, reliable and conflict sensitive media outlet in the region
Azimio letu
To empower listeners by providing them a forum to share what they know in Social development, Governance, Economic development and Spiritual development of humanity with the intention of promoting National cohesion and integration from the County levels.