Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Justin Bieber ametangaza ujio wa Album yake mpya inayoitwa “JUSTICE” inayotarajiwa kuachiwa rasmi Machi 19 mwaka huu 2021.
Justice inakuwa Album yake ya sita kutoka studio ikiifuata Album ya Changes iliyoachiwa Mwanzoni mwa mwaka wa 2020.
Album ya Justice itakuwa na ngoma kama “Holly” aliyoshirikiana na Chance the Rapper, “Lonely” akishirikiana na Benny Blanco, na “Any One,” ambazo tayari zilishaachiwa na zinafanya vizuri kwa sasa.