Nyota wa muziki kutoka Nchini Nigeria Davido amewaacha watu na maswali mengi na kuzua mijadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya kunaswa na camera akiwa na mrembo mwingine huko Saint Marteen Nchini Marekani.
Davido ameonekana katika kipande cha Video akiwa ameshikana mikono na mwanamitindo mya yafai aliyekuwa mpenzi wa Rapa wa Marekani Young M.A. Video hiyo fupi imewaacha watu wakishangaa ikiwa wawili hao wapo kwenye mahusiano
Davido ambaye ni mpenzi wa Chioma na Avril Rowland kwa sasa yuko likizo na timu yake huko Saint Marteen nchini Marekani.