Hitmaker wa ngoma ya “Manyake” Circute ameukosoa wimbo wa Bensoul uitwa “Nairobi” kwa madai kwamba wimbo huo unakwenda kinyume na maadili ya jamii.
Kupitia mitandao yake ya kijamii Circute amesema ingawa mdundo wa wimbo huo ni mzuri, maudhui yake yanahimizi watu kushiriki na kuendeleza uesharati.
Akijibu kuhusu kauli ya Circute, Bensoul amesema hayo ni maoni ya msanii huyo na hayatamfanya aache kuzungumza ukweli kwenye nyimbo zake.