SENEGAL: MAANDAMANO YAPAMBA MOTO, SERIKALI YAAMURU INTANETI KUZIMWA.
Mamlaka Nchini Senegal imeyaamuru mashirika yanayotoa huduma ya Intaneti (Internet) kuzima huduma hiyo Nchi nzima, huku maandamano ya kupinga kuzuiliwa kwa Kiongozi wa Upinzani yanazidi kuongezeka Kulingana na NetBlocks, huduma…