WACHOMA MKAA KACHELIBA,POKOT MAGHARIBI WAONYWA
Wakazi wa eneo Bunge la Kacheliba wametahadharishwa dhidi ya kuharibu misitu kwa kukata miti na kuchoma makaa na wengine kuiuza kwa matapeli wanaodaiwa kusafirisha miti hiyo kutoka eneo hilo na…
Wakazi wa eneo Bunge la Kacheliba wametahadharishwa dhidi ya kuharibu misitu kwa kukata miti na kuchoma makaa na wengine kuiuza kwa matapeli wanaodaiwa kusafirisha miti hiyo kutoka eneo hilo na…
Serikali ya kaunti ya Pokot Magharibi imetakiwa kuweka mikakati zaidi ili kuzidisha uzalishaji wa chakula katika wadi mbali mbali kaunti hiyo. Akizungumza kwenye kikao kilichowaleta pamoja washikadau mbali mbali katika…
Serikali ya Kaunti ya Pokot Magharibi inatazamwa kwa kina na mawananchi kuelekea utekelezwaji wa miradi ya maendeleo hususan ujenzi wa Viwanda baada ya Gavana wa jimbo hilo Professor John Krop…
Hafla za burudani mazishini maarufu disko matanga zimepigwa marufuku katika Kaunti ya Trans nzoia Akizungumza katika eneo bunge la Cherangany Kaunti ya Trans nzoia waziri wa usalama wa kitaifa daktari…
Naibu kamishna wa kaunti ndogo ya Marakwet Mashariki kaunti ya Elgeiyo Marakwet Simon Osumba ametoa wito kwa wazazi kuhakikisha wanawaelekeza wanao kwa njia bora kupitia mafunzo na mawaidha ili wasijihusishe…
Vijana kutoka kaunti ya Elgeiyo Marakwet wakiongozwa na Dennis Cherono wamewakumbusha wenzao kwamba hakuna faida yoyote ambayo watapata kwa kuvuruga amani ingekuwa bora wajihusishe zaidi kwenye maswala ambayo yanaweza kuwafaidi…
Zaidi ya wanafunzi 1000 katika kaunti ya Turkana wamefaidika na vitabu, madawati na viti kutoka kwa wakfu wa safaricom. Miongoni mwa shule zilizopokea vifa hivyo ni pamoja na shule ya…
Kiwanda cha nyama cha Nasukuta iliyoko eneo la Chepareria eneo bunge la Pokot Kusini kitaleta manufaa mengi kwa wakaazi wa kaskazini mwa Bonde la ufa Waziri wa kilimo kaunti ya…
Mahakama mjini Kabarnet kaunti ya Baringo imetoa maagizo ya kuzuia mabunge ya seneti na lile la kitaifa kuchukua hatua dhidi ya bunge la kaunti ya Baringo kwa kuangusha mswada wa…
Polisi kaunti ndogo ya Marigat kaunti ya Baringo wametekeza zaidi ya mashine 50 za kamari baada ya akina mama kuibua madai kwamba waume zao na vijana wa ndogo wameathirika na…