WACHUUZI WA MIFUGO KATIKA SOKO LA LODWAR WAFANYA UCHAGUZI WA KUTEUA VIONGOZI WAO.
Wachuuzi wa mifugo kaunti ndogo ya turkana ya kati wamewachagua viongozi watakaowasimamia kwenye shughuli zao za kibiashara katika soko kuu la miifugo la lodwar katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.…