MPANGO WA KUTWAA SILAHA ZINAZOMILIKIWA NA WAKAAZI KWA HIARI WAZAA MATUNDA TURKANA

Mpango wa kutwaa silaha haramu iliyoanzishwa na Idara ya usalama Kaunti ndogo ya Turkana Kusini kwa hiari imeanza kuzaa matunda baada ya wananchi kusalimisha bunduki 53 na risasi 300 katika kipindi cha miezi tatu iliyopita. Akiwahutubia wanahabari baada ya kupokea bunduki kumi zilizosalimishwa na wananchi, Naibu Kamishna wa Kaunti ndogo ya Turkana Kusini Philip Sigei […]

Read more

SHULE YA UPILI YA ST KEVINS MJINI LODWAR YAFUNGWA KWA MUDA

Shule ya upili ya St Kevins mjini Lodwar, Kaunti ya Turkana imefungwa kwa muda kutokana na mafuriko yanayoshuhudiwa kaunti hiyo baada ya mto Turkwel kuvunja kingo zake. Akizungumza na wanahabari mjini Lodwar Mwalimu Mkuu wa shule ya Upili ya St. Kevins Thomas Lokuruka amesema hatua hiyo imetokana na madarasa na vyoo vya shule hiyo kusombwa […]

Read more

GAVANA NANOK AJITENGA NA HATUA YA BUNGE LA KAUNTI YA TURKANA KUPITISHA MSAADA WA PUNGUZA MZIGO

Siku chache baada ya Bunge la Kaunti ya Turkana kupitisha mswaada wa punguza mzigo, Gavana wa Kaunti hiyo Josphat Nanok amepuzilia mbali shinikizo za  kubadili katiba zinazoendelezwa na kinara wa chama cha Thirdway Alliance Ekuro Aukot. Akiwahutubia wananchi mjini Lodwar Nanok amesema maamuzi ya Bunge la Kaunti ya Turkana kupitisha mswaada wa punguza mzigo sio […]

Read more
MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA UKIMWI YAPUNGUA TURKANA

MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA UKIMWI YAPUNGUA TURKANA

Waziri wa Afya katika Kaunti ya Turkana Jane Ajele amesema visa vya maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi miongoni mwa wakaazi kaunti hiyo vimepungua kwa asilimia kubwa. Akizungumza Mjini Lodwar kwenye hafla ya kutathmini utendakazi wa shirika la Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation ambalo linasitisha shughuli zake Kaunti ya Turkana, Ajele amesema maambukizi ya ugonjwa wa […]

Read more
KUNDI LA ABANGO NAAJOKHON LAWAVUTIA WENGI KAUNTI YA TURKANA KWA UBUNIFU WAO WA KUZALISHA  NYAMA YA MIKEBE KIASILI

KUNDI LA ABANGO NAAJOKHON LAWAVUTIA WENGI KAUNTI YA TURKANA KWA UBUNIFU WAO WA KUZALISHA NYAMA YA MIKEBE KIASILI

Kundi moja la akina mama linalojulikana kama Abango na Naajokon kwenye Kaunti ndogo ya Turkana Mashariki ambalo limejikita kwenye shughuli ya kuuza nyama ya mikebe iliyozalishwa kwa njia ya kiasili maarufu Arukot linaendelea kuwavutia wateja wengi kaunti ya turkana  na nje ya kaunti hiyo licha ya changamoto zinazoikabili. Kulingana na Mkurungezi wa kitengo cha mauzo […]

Read more
HATUA YA MAHAKAMA KURUHUSU KATIBU WA KNUT WILSON SOSSION YASHABIKIWA NA WADAU WA ELIMU,TURKANA.

HATUA YA MAHAKAMA KURUHUSU KATIBU WA KNUT WILSON SOSSION YASHABIKIWA NA WADAU WA ELIMU,TURKANA.

Siku moja baada ya Mahakama ya Leba kuamuru Wilson Sossion kuendelea kushikilia wadhifa wa ukatibu mkuu wa Chama cha Walimu Nchini KNUT,Mwenyekiti wa chama cha KNUT tawi la Turkana Bwana Kenyaman Eriong’oa ameshabikia hatua hiyo akisema kwamba ni ushindi mkubwa kwa walimu wa kenya. Akizungumza na wanahabari mjini Lodwar, Eriong’oa amesema uamuzi wa mahakama ni […]

Read more
WAIDHISHWA NA WIZARA YA AFYA KUWA BORA KWA KUMILIKI VYOO

WAIDHISHWA NA WIZARA YA AFYA KUWA BORA KWA KUMILIKI VYOO

Eneo la Locher Ekuyen iliyoko kaunti ndogo ya Loima imeidhinishwa na wizara ya afya kaunti ya turkana kuwa miongoni mwa maeneo ambayo wakaazi wake wamekumbatia matumizi ya vyoo. Mshirikishi wa kitengo cha Wash unit katika kaunti ya turkana Reuben Kibiego amesema uamuzi huo umetokana na hatua ya makaazi 750  ambayo yapo eneo hilo kumiliki vyoo. […]

Read more