SERIKALI YA KAUNTI YA TURKANA YAKANA MADAI YA KUZUIA KAMPUNI TULLOW KUSAFIRISHA MAFUTA

Serikali ya Kaunti ya Turkana imepuzilia mbali madai kuwa imezuia kampuni ya mafuta tullow oil kuendesha shughuli zake. Naibu Gavana Peter Loterhiro amesema wametamahushwa na hatua ya kampuni hiyo kusitisha shughuli zake ghafla bila kuwahusisha wenyeji wa kaunti hiyo. Aidha ametoa wito kwa uongozi wa kampuni ya Tullow Oil kuweka wazi changamoto inazopitia ili waweze […]

Read more

KUTTUNY AWASUTA WANAOPINGA RIPOTI YA BBI

Mbunge wa Cherangany Joshua Kuttuny amewasuta vikali wanaopinga jitihada za maridhiano ya kitaifa. Akizungumza huko Bungoma Kuttuny amesema baadhi ya wanasiasa wanaopinga ripoti ya BBI  wanajitakia makuu kwenye uchaguzi wa mwaka wa 2022. Kwa upande wake Mbunge wa Tiaty William Kamket amesema ripoti ya Jopo la Maridhiano BBI ni sharti ifikishwe kwa wakenya walio na […]

Read more

VIONGOZI WAHIMIZWA KUHUBIRI AMANI KUPITIA MICHEZO

Viongozi wamehimizwa kuepukana na siasa za kugawanya wakaazi wa Kaskizini Mwa Bonde la Ufa na badala yake wahubiri amani na  utangamano miongoni mwao. Akizungumza kwenye ufunguzi wa mashindano ya riadha eneo la Ekalees Center mjini Lodwar Naibu Gavana Kaunti ya Turkana Peter Lotethiro amehimiza umuhimu wa mchezo  wa riadha ambao aliutaja chombo muhimu cha kuwaleta […]

Read more

MCHAKATO WA KUPAMBANA NA NZIGE WAANZA TURKANA

Serikali ya kaunti ya Turkana kwa ushirikiano na washikadau mbali mbali itaanzisha mchakato wa kutathmini hali na kukusanya data kuhusiana na uvamizi wa nzige. Waziri wa Kilimo na Uvuvi Chris Aletee amesema hatua hiyo itasaidia kupambana na tishio la wadudu hao ambao mara nyingi uleta uharibifu wa mazingira. Aidha Aletee amedokeza kuwa watashirikisha Idara ya […]

Read more

WAFANYIBIASHARA TURKANA WAAHAPA KUTOLIPA USHURI KUTOKANA NA MAZINGIRA DUNI YA SOKO KUU LA LODWAR

Wafanyibiashara katika soko kuu la Lodwar kaunti ndogo ya Turkana ya kati wameapa kutotozwa ushuru hadi serikali ya kaunti ya Turkana itakapofanya maendeleo katika soko hilo. Wakiongozwa na Mwenyekiti wao Peter Areman wafanyibiashara hao wamedai soko kuu la Lodwar limebaguliwa na serikali ya kaunti hiyo licha ya wao kulipa ushuru kwa wakati. Aidha wamekashifu hatua […]

Read more

WATOTO SITA WOTE WA FAMILIA MOJA SASA WATAKA USAIDIZI KUTOKA KWA IDARA YA WATOTO JIMBO LA POKOT MAGHARIBI

Familia moja ya Watoto Sita kutoka Mji wa Makutano eneo Bunge la Kapenguria kaunti ya Pokot Magharibi sasa inataka Idara ya Watoto kuingilia kati na kuwasaidia. Watoto hao wamekuwa wakizozana na Baba yao kuhusiana na mahitaji ya kimsingi ikiwemo Chakula ambayo wanadai wanakosa. Wakiongozwa na Philemon Rutto ambaye ndiye mtoto mkubwa katika familia hiyo, wamedai […]

Read more
1 2 6