MARY BATA AMSAINI MSANII MPYA KWENYE LEBO YAKE YA MUZIKI YA “MBM”
Staa wa muziki nchini Uganda Mary Bata amethibitisha kumsajili msanii wa kike nchini humo Kemi Sera kwenye lebo yake ya muziki ya MBM. Bata ameweka wazi hilo kwenye moja ya…
Staa wa muziki nchini Uganda Mary Bata amethibitisha kumsajili msanii wa kike nchini humo Kemi Sera kwenye lebo yake ya muziki ya MBM. Bata ameweka wazi hilo kwenye moja ya…
Msanii wa muziki wa Pop duniani the weeknd ameweka wazi uamuzi wake wa kutopeleka nyimbo zake kwenye tuzo za Grammys baada ya kutoteuliwa kuwania tuzo hizo kwa mwaka huu. Katika…
Baadhi ya wadau wa muziki nchini wamemtolea uvivu Staa wa muziki nchini Otile Brown mara baada ya msanii huyo kumshirikisha mwanadada maarufu mitandaoni aitwaye Shakilla kwenye wimbo wake mpya uitwao…
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Daddy Owen amekuwa akipatia mambo mengi kwenye maisha yake mara baada ya kuachana na mke wake Faridah Wambui. Moja kati ya mambo ambayo amekuwa…
Staa wa muziki nchini Uganda Daddy Andrea amekuwa akipata ukosoaji mkubwa kutoka kwa wadau wa muziki nchini uganda tangu alipoachia video ya wimbo wake na Nina Roz iitwayo "Andele" wiki…
Mwanamuziki wa bongo fleva, ‘Nandy’ amesema kuwa watu wengi wana hofu kwamba huenda akawa mjazito lakini ukweli ni kwamba hana mimba. Nandy ambaye anafanya vizuri na wimbo wake wa "Leo…
Msanii wa muziki kutoka Uganda Ziza Bafana ni moja kati ya wasanii tajika nchini humo na amekuwa kwenye muziki kwa miaka kadhaa sasa kabla ya kupotea kwenye game baada ya…
Maprodyuza Timbaland na Swizz Beatz kutoka marekani wameripotiwa kuiuza VERZUZ kwa kampuni ya Triller Network ambao ni wamiliki wa mtandao wa Triller. VERZUZ ni jukwaa la muziki mtandaoni ambalo lilianzishwa…
Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo amekanusha kuwa kauli yake haikumlenga Mwanamitindo na msanii Hamisa Mobetto kama inavyotafsiriwa na baadhi ya watu mtandaoni na Hamisa mwenyewe. Baba Levo alipangua madai…
Aliyekuwa msanii wa lebo ya muziki ya EMB Weezdom ameshindwa kuweka wazi kama kuna uwezekano wa kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake Mylee Staicey ikiwa ni miezi kadhaa sasa baada ya…