“BODAK YELLOW” YA CARDI B YAFIKISHA MAUZO YA DIAMOND

You are currently viewing “BODAK YELLOW” YA CARDI B YAFIKISHA MAUZO YA DIAMOND
  • Post category:Burudani

Wimbo wa rapa Cardi B kutoka marekani uitwao “Bodak Yellow” umefikisha kiwango cha mauzo ya Diamond yaani umeuzwa mara milioni 10 duniani kote.

Hii imemfanya Cardi B kuwa msanii wa kwanza wa Hip Hop kwa Wanawake kufikia hatua hiyo.

Bodak Yellow ndio wimbo uliomtambulisha Cardi B kwenye muziki wa dunia, akiuachia kama wimbo wake wa kwanza mnamo Juni 16, mwaka wa 2017 chini ya Atlantic Records ukiwa wimbo wa kwanza kwenye album yake ya Invasion of Privacy.

Robert Elim

Robert Elim better known as Mtoto wa Nyumbani Roba is a new shade of light on the mainstream radio scene! He host an Entertainment show called Interact that usually runs every Monday to Friday from 1:00 PM to 4:00 PM and Interact Extra that runs every Saturday from 10:00 AM to 1:00 PM. Follow him on Twitter and Instagram @robertchiwawa